• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda atoa Shehena ya Mifuko 1,200 ya Saruji kwa Askari 12 Bora

Posted on: June 24th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Juni 24/ 2018 ametimiza ahadi yake kwa Jeshi la Polisi aliyoitoa hivi karibuni kwa kuwakabidhi shehena ya Mifuko 1,200 ya Saruji sawa na Tani 60 yenye thamani ya shilingi Milioni 14 kwa Askari Bora 12 waliochaguliwa na Jeshi la Polisi kutokana na utendaji kazi wao kuwa  mzuri.

RC Makonda amesema lengo la kutoa zawadi hiyo ni kujenga morali ya kazi kwa askari wanaojitoa kwa hali na Mali kulinda usalama wa Raia na Mali zao jambo linalopelekea Dar es salaam kuwa Shwari.

Mifuko hiyo ya Saruji imetolewa na kampuni ya Nabis Cooperate Ltd iliyounga mkono jitiada za RC Makonda katika kugusa maisha ya Wananchi katika masuala mbalimbali.

Aidha RC Makonda amesema pamoja na kuendelea kuliboresha Jeshi la Polisi Kama taasisi kwa kuwapatia vitendea kazi  Kama Magari, Pikipiki, Baiskeli na Computer pia ameona ni vyema kugusa maisha ya askari mmojammoja kwa kuhakikisha wanakuwa na makazi zao na familia  ili familia ijivunie kazi anayoifanya Baba au Mama.

Hadi sasa RC Makonda amewawezesha zaidi ya askari Polisi 800 kupata mikopo ya viwanja vya bei nafuu.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Nabis Cooperate Ltd Eng. Thomas Wiso amesema kuwa wameamua kutoa saruji hiyo kuunga mkono jitiada za RC Makonda kujali wananchi wake na kuhakikisha hali ya Ulinzi na usalama inakuwa Shwari.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa