• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Atimiza ahadi ya Kuwapeleka Viongozi wa Machinga Taifa Kigali Rwanda

Posted on: March 10th, 2023

 

- Awakabidhi Tiketi za Kwenda na Kurudi na pesa ya kujikimu.

- Asema Dhamira ya Serikali ya Rais Dkt. Samia ni kuwalea Bodaboda na Machinga.

- Awashukuru Bank ya NMB kwa kuunga mkono jitiada za Serikali ya Mkoa.

- April 02 ni zamu ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam CPA. Amos Makalla Leo March 10 amekabidhi tiketi za Kwenda na kurudi kwa Viongozi wa Shirikisho la Machinga Taifa (SHIUMA) kwaajili ya safari ya Mafunzo Kigali Rwanda.

RC Makalla amesema Viongozi hao wataondoka Jumapili ya March 12 wakiongozana na Afisa mmoja kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambapo amewashukuru Bank ya NMB kwa kufadhili safari hiyo.

Aidha RC Makalla amesema Viongozi hao wakiwa Nchini Rwanda watatembezwa maeneo mbalimbali kwa lengo la kujifunza namna wenzetu wamefanikiwa kwenye usafi jambo lililopelekea kushika nafasi ya kwanza kwa usafi Afrika ambapo Jiji la Dar es salaam lipo nafasi ya Sita.

Pamoja na hayo RC Makalla ametangaza kuwapeleka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Nchini Rwanda ifikapo April 02

Hata hivyo RC Makalla amesema mbali na kujifunza Usafi wakiwa Nchini Rwanda, pia watapata fursa ya kukutana na Wafanyabiashara wa Nchi hiyo kwaajili ya kutanua Wigo wa kibiashara na kujenga mashirikiano.

Kwa upande wake Meneja wa Bank ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Ndg.Donatus Richard ambao ndio Wafadhili wa safari hiyo wamesema Bank yao Itaendelea kushirikiana na Serikali na Mkuu wa Mkoa katika masuala mbalimbali ya Kijamii.

Nao Viongozi wa Machinga Taifa wamemshukuru RC Makalla kwa kuwafanikishia safari hiyo na wamemuahidi watatumia vizuri Elimu watakayoipata Nchini Rwanda kuboresha ufanyaji Biashara kwa kuhakikisha mji unapangika

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Masoko Mapya Yatakayojengwa Washirikishwe Machinga na Viongozi wa Soko

    March 11, 2023
  • RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

    March 10, 2023
  • RC Makalla Atimiza ahadi ya Kuwapeleka Viongozi wa Machinga Taifa Kigali Rwanda

    March 10, 2023
  • RC Makalla Hakuna Fremu Soko la Kariakoo Zilizogawiwa Epukeni Matapeli

    March 26, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa