• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Ampongeza Rais Samia kwa Kutatua Kero ya Barabara na Mitaro Kata ya Mbweni

Posted on: June 14th, 2022

 

- Atoa zaidi ya shilingi Bilioni 21 za Ujenzi wa kilomita 14 Za barabara, mitaro zinajengwa Na wakandarasi watatu

- Wananchi wafurahishwa kuona kero ya mafuriko kila mwaka imepata ufumbuzi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametembelea Ujenzi wa Barabara, Taa, Mitaro, Mifereji ya maji Kata ya Mbweni zenye urefu wa Km 14.5 inayogharimu Zaidi ya Shilingi Bilioni 21 ambapo kukamilika kwake inakwenda kilio Cha muda mrefu Cha Wakazi wa Mbweni.

Akizungumza wakati wa Ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo, RC Makalla amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha zaidi ya Shilingi Bilioni 21 kwaajili ya Kata ya Mbweni Baada ya kupokea Kilio Cha Wakazi hao.

Miongoni mwa Barabara alizotembelea RC Makalla ni pamoja na Barabara ya Mbweni JKT yenye urefu wa Km 3.9 inayojengwa na Mkandarasi kutoka Kampuni ya Nyanza road works kwa gharama ya Shilingi Bilioni 4.5 na Sasa Ujenzi upo Asilimia 50.

Aidha RC Makalla ametembelea Ujenzi wa Barabara ya Mkwajuni Mbweni yenye urefu wa Km 7 Chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Kings Building kwa gharama ya Shilingi Bilioni 11.2 ambapo Ujenzi umefikia Asilimia 72.

Hata hivyo RC Makalla amekagua Ujenzi wa Barabara ya Mbweni kwa Somji yenye urefu wa Km 2.1 ambapo ametumia ziara hiyo kutoa wito kwa Wakandarasi kumaliza kazi kwa wakati ili waweze kujiwekea mazingira ya kupata kazi Mara kwa mara.

Pamoja na hayo RC Makalla amempongeza Rais Samia kwa kutoa Shilingi Bilioni 9 kwaajili ya Ujenzi wa Mifereji ya maji kwenye maeneo yaliyokuwa yakikabiliwa na tatizo la mafuriko na maji kutwama kwenye Kata hiyo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa