• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Kamati ya Maandalizi, Mkutano Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani

Posted on: September 1st, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 1,2023 amekutana na Kamati ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani Ofisini kwake Ilala Boma Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiongea na ujumbe huo wa JWTZ amemshukuru CDF John Jacob Mkunda na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia Mkutano huo Mkubwa wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani kufanyika hapa Tanzania hususani Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema mkutano huu utafungua fursa za kiuchumi kwa Watanzania na ni kiashiria cha nguvu ya Diplomasia katika kukuza uchumi wa Taifa letu.

Aidha RC Chalamila amesema katika Kipindi cha uongozi wa Rais Dkt Samia Taifa linashuhudia kuimarika kwa Diplomasia ya Uchumi kwa kasi kubwa ambapo mwezi uliopita Mkutano Mkubwa wa kujadili mtaji wa rasilimali mali watu ulifanyika hapa nchini na kuhudhuriwa na mataifa zaidi ya 40 vilevile mwezi huu Septemba tunatarajia kuwa na Kongamano  kubwa la mifumo ya Chakula Afrika ( AGRF SUMMIT) inayotarajiwa kuanza tarehe 4-8 Septemba 2023 Jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC, hayo yote ni matunda ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika Kuimarisha Diplomasia ndani na nje ya nchi, hivyo Mkoa kwa heshima kubwa ya Mhe Rais umepokea kwa furaha taarifa ya kufanyika tena kwa kwa Mkutano Mkubwa wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani hiyo ni fursa nyingine kwa taifa sio tu kwa upande wa michezo bali ni fursa ya kukuza uchumi wa Watanzania, hivyo Mkoa uko tayari kutoa ushirikiano wa kutosha kufanikisha mkutano huo

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Meja Jenerali  Francis Mbindi amesema mkutano huo unatarajiwa kufanyika hapa nchini, Mkoani Dar es Salaam kuanzia tarehe 12- 19 May 2024 nchi zaidi ya 140 zitashiriki, Ufunguzi utafanyika May 14,2024 mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu na utafungwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan hivyo wamekuja kukutana na mkuu wa Mkoa kwa lengo la Kujitambulisha na kuomba msaada wa hali na mali katika kufanikisha mkutano huo wa kihistoria

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa