MFUMO WA UTARATIBU WA MASUALA YA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM.
UTANGULIZI .
Mkoa wa Dar es salaam una jumla ya Wilaya tano ambazo ni Ilala, Kinondoni, Kigamboni, Temeke na Ubungo na Halmashauri sita, Halmashauri ya Jiji na Manispaa za Ilala, Kinondoni ,Kigamboni Temeke na Ubungo.
Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam zina mifumo tofauti ya uzoaji na ukusanyaji wa taka katika maeneo yao ambapo ; Baadhi ya Halmashauri zinatumia wakandarasi wa uzoaji taka na Halmashauri nyingine wanatuamia vikundi vya kijamii kwa ajili ya kukusanya na kuzoa taka na kupeleka dampo.
Kwa utaratibu wa kutumia vikundi hauko madhubuti sana kwani taka hazizolewi kwa mujibu wa ratiba ambazo zainajulikana na wananchi , mara nyingi husababisha kero kwa taka kutoondolewa kwa wakati . Mara nyingine husababisha mrundikano wa taka barabarani na kwenye maeneo ya wazi.
Mfumo wa kutumia Makandarasi ya uzoaji taka ambapo mara nyingi wapo katikati ya Jiji; mfumo huu upo madhubuti hasa kwa Makandarasi ambao wanafuta ratiba na wana uwezo mkubwa wa biashara ya uzoaji wa taka na kupeleka dampo .
Kwa hivi sasa baada ya kufanya tathmini Mkoa umeanzisha Mfumo mpya wa utoaji wa taarifa ya hali ya usafi wa mazingira kwa kila siku ya Ijumaa ya kila wiki ikionyesha:-
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa