• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Ratiba ya Sherehe ya Ufunguzi wa Flyover ya Mfugale

26 September 2018

                                JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

                       WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO




                                                                                                      

RATIBA YA SHEREHE YA UFUNGUZI WA FLYOVER YA MFUGALE

 

MAHALI:        MAKUTANO YA BARABARA ZA MANDELA NA NYERERE ENEO LA TAZARA, DAR ES SALAAM

               

TAREHE:       27 SEPTEMBA, 2018

 

MUDA

TUKIO

MHUSIKA/WAHUSIKA

1:30 – 3.00 Asubuhi
Kuwasili Wageni Waalikwa na Burudani
Mkuu wa Wilaya ya Temeke/ MC
3:30
Asubuhi
Kuwasili Mheshimiwa Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe (Mb), Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Katibu Mkuu (Ujenzi) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke
3:40
Asubuhi
Kuwasili Mheshimiwa Masaharu Yoshida, Balozi wa Japan  nchini Tanzania na Bw. Toshio Nagase, Mwakilishi Mkuu wa JICA nchini Tanzania
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
4:00 Asubuhi
Kuwasili Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
4:00 – 4:05
Asubuhi
Wimbo wa Taifa
Bendi ya JKT (JKT Brass Band)
4:05 – 4:15
Asubuhi
Burudani
Vikundi vya Ngoma
4:15 – 4:25
Asubuhi
Salaam za Mheshimiwa Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Utambulisho wa Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
4:25 – 4:30
Asubuhi
Utambulisho wa Wageni kutoka kwa Mhandisi Joseph M. Nyamhanga, Katibu Mkuu (Ujenzi), Wizara ya  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Katibu Mkuu  (Ujenzi)
4:30 – 4:35
Asubuhi
Taarifa ya Mradi Kutoka kwa Mhandisi Patrick A. L. Mfugale, Mtendaji Mkuu wa TANROADS
Mtendaji Mkuu wa TANROADS
4:35 – 4:40
Asubuhi
Salaam kutoka kwa Bw. Toshio Nagase, Mwakilishi Mkuu wa JICA nchini Tanzania
Mwakilishi Mkuu wa JICA nchini Tanzania
4:40 – 4:45
Asubuhi
Salaam kutoka kwa Mheshimiwa Masaharu Yoshida, Balozi wa Japan nchini Tanzania
Balozi wa Japan nchini Tanzania
4:45– 4:55
Asubuhi
Maelezo ya Mheshimiwa Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe (Mb),  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Kumkaribisha Mgeni Rasmi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
4:55 – 5:40
Asubuhi
Hotuba ya Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
5:40 – 5:45
Asubuhi
Ufunguzi wa Flyover ya Mfugale
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Balozi wa Japan nchini Tanzania
5:45 – 5:55
Asubuhi
Picha za Ukumbusho
MC
5:55
Asubuhi
Mgeni Rasmi Kuondoka Eneo la Sherehe
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Masoko Mapya Yatakayojengwa Washirikishwe Machinga na Viongozi wa Soko

    March 11, 2023
  • RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

    March 10, 2023
  • RC Makalla Atimiza ahadi ya Kuwapeleka Viongozi wa Machinga Taifa Kigali Rwanda

    March 10, 2023
  • RC Makalla Hakuna Fremu Soko la Kariakoo Zilizogawiwa Epukeni Matapeli

    March 26, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa