Posted on: February 19th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 19, 2024 akiwa katika Mkutano wa hadhara Wilaya Temeke Jimbo la Mbagala ametoa ufafanuzi kwa wananchi juu ya uhaba wa Sukari hapa nchini...
Posted on: February 17th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema hajaridhishwa na Kasi ya mkandarasi anayejenga uwanja wa mpira wa miguu eneo la Mwenge Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
...
Posted on: February 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 16 amezindua magari ya wagonjwa na usimamizi shirikishi wa utoaji wa huduma za afya ngazi ya Mkoa tukio ambalo limefanyika Mnazimmoj...