Posted on: October 11th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mapema leo alfajiri amefika kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Kimara kujionea mwenyewe adha wanayoipata abiria ambapo amewaomba abiria kuwa watulivu wakati...
Posted on: October 10th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewaagiza watendaji wote wanaosimamia Usafiri wa Mabasi ya Mwendo wa haraka UDART kukutana nae kesho Alhamis Saa 12:30 Asubuhi eneo la kituo cha Mabasi...
Posted on: October 5th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza kuondoa muda wa Kikomo kwa wasanii kupiga mziki kwenye matamasha hadi Saa sita usiku Na sasa amewaongezea muda hadi Saa nane usiku kwa si...