Posted on: July 7th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo July 07 amepokea Mwenge wa Uhuru uliowasili Asubuhi ya leo Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere ukitokea Mkoa wa Kusini Pemba na kuukabidhi kwa Mkuu w...
Posted on: July 6th, 2018
Maelfu ya Vijana waliohitimu mafunzo ya JKT na Mgambo na hawana kazi leo wamefurika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa ajili ya kupatiwa ajira ya kusimamia kikamilifu ...
Posted on: July 4th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametegua kitendawili kilichowatesa kwa muda mrefu wakazi wa Kata ya Liwiti baada ya mmoja wa wananchi kudai ndie mmilika halali wa eneo la Soko lao ...