Posted on: October 22nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawaalika vijana wote wenye utaalamu wa Teknolojia yani IT kufika Ofisini kwake Tar 01/11/2018 Asubuhi kwa ajili ya kuunda Mfumo wa kuratibu Uwajibikaj...
Posted on: October 18th, 2018
Naibu Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso leo ameikabidhi DAWASA miradi miwili; ya majisafi na usafi wa mazingira.
Miradi hii iligharamiwa na Shirika la Water Aid Tanzania na kujengwa chi...
Posted on: October 15th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ameagiza kukamatwa kwa waliokuwa viongozi wa Soko la Kimataifa Kariakoo kwa kusababishia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Vigogo wal...