Posted on: November 9th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amesema Ujenzi wa Stand mpya ya Mabasi ya mikoani ya Mbezi Louis umefikia 90% na itaanza majaribio ya Kwanza Novemba 25 na kuanza kutumika rasmi Nov...
Posted on: October 17th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amefanya ziara ya kushtukiza Usiku wa manane kwenye miradi mitatu mikubwa ikiwemo ya Ujenzi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti, Soko la Kisu...
Posted on: September 22nd, 2020
Mkuu Wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge leo amefanya kikao kazi na mamia ya walimu wa Shule za Msingi zilizopo Wilaya ya Ilala kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili na kuangalia ...