Posted on: September 26th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda anakualika kushiriki katika Sherehe ya Ufunguzi wa Flyover ya Mfugale itakayofanyika kesho tarehe 27/09/2018 saa mbili kamili asubuhi katika...
Posted on: September 25th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amekutana na Mabenki, Wenyeviti wa mitaa, madalali wa mahakama na mabenki kuweka mkakati madhubuti wa kudhibiti wizi na utapeli ambao umekuwa chanzo...