Posted on: December 6th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila, leo Desemba 6, 2023 ametoa Salamu za pole na msaada wa vifaa mbalimbali kwa waathirika wa maafa ya mafuriko Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara.
...
Posted on: December 5th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Decemba 05, 2023 amefika na kukagua athari zilizotokana na janga la moto katika eneo la Mwenge Wilaya ya Kinondoni usiku wa kuamkia leo...
Posted on: November 29th, 2023
- Asema mchakato wa Jambo hilo umefuata taratibu zote hitajika
- Imedhihirika kuwa Kigamboni kwa sasa Kuna idadi kubwa ya watu
- Asema hii itasaidia kupanua Maeneo ya Kiutawala
- Wa...