Posted on: March 17th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amelitaka Shirika la Maji Safi na Maji Taka DAWASCO kuhakikisha linashughulikia kero zote za maji kwa Wananchi ikiwemo kuhakikisha upatikanaji wa maji s...
Posted on: March 15th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amepokea Tani 120 za Saruji ambazo ni sawa na Mifuko 2,400 ya saruji kutoka kwa Vyama vya Ushirika 27 vya Mkoa huo vilivyoguswa na kampeni ya Ujenzi...
Posted on: March 8th, 2018
Mashirika ya Umma na Sekta binafsi kote nchini yametakiwa kuhakikisha yanashirikiana bega kwa bega na Serikali katika kumuwezesha mwanamke kujikwamua kiuchumi na kimaendeleo.
Kauli hiyo imetole...