Posted on: June 20th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amefanikiwa kupata wadau watakaojenga Viwanja 5 vya Basketball (in door) kwenye wilaya zote Tano za Mkoa huo kwa lengo la kuimarisha sekta ya michezo.
...
Posted on: June 13th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ameanza kufanyia kazi Agizo la Rais Dr. John Magufuli la kufuatilia taratibu za ujenzi wa Barabara ya kutokea Makao Makuu ya BAKWATA hadi Biafra na tati...
Posted on: June 12th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amekabidhi kadi 220 za Bima ya Afya (Toto Afya Card) zenye thamani ya zaidi ya shilingi Million 11 kwa watoto yatima na waishio Kwenye mazingira mag...