Posted on: May 1st, 2017
Wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam waungana na Wafanyakazi wenzao Duniani kuadhimisha sherehe za Mei Mosi ambapo Kimkoa zimefanyika katika Uwanja wa Uhuru.
Sherehe hizo zilianza kwa maandamano ya...
Posted on: April 28th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amezindua Mkutano wa Wadau wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI kwa mwaka 2016.
Akizindua Mkutano huo wa Wadau wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKI...
Posted on: April 26th, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 26 Aprili 2017, ameongoza maelfu ya Watanzania katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ...