Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul C. Makonda akiambatana na viongozi waandamizi wa Mkoa na Mamlaka ya Maji safi na Maji taka DAWASA wametembelea miradi mikubwa ya uchimbaji wa visima vikubwa 20 vya maji katika maeneo ya Mpera na Kimbiji Wilayani Kigamboni.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akiongea katika sherehe ya kutimiza mwaka mmoja tangu ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa