• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla "Hakuna Panya Road Atakaesalimika DSM"

Posted on: May 2nd, 2022

 

Makamanda wa Jeshi la Polisi, OCD, na Wakuu wa Vituo vya Polisi DSM wakati wa Kikao Kazi Anatoglo- Mnazi mmoja.


-  Aelekeza Jeshi la Polisi kuanza Operesheni kabambe kuanzia usiku wa leo kuwasaka Na kuwakamata

- Wakuu wa vituo kupimwa kwa kudhibiti uhalifu katika maeneo yao.

- Aelekeza Wanaonunua Mali za Wizi wasakwe Na wakamatwe.

- Kamati za usalama kuanzia ngazi ya Wilaya, Kata mpaka Mtaa zatakiwa kufanya msako.

- Wazazi Watakiwa kufuatilia mienendo ya watoto wao.

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza Jeshi la Polisi kuanza Mara moja msako wa kuwakamata Watuhumiwa wa Wizi na unyang'anyi kwa kutumia silaha maarufu Kama Panya road na kuwachukulia hatua Kali za kisheria.

RC Makalla ametoa maelekezo hayo Kufuatia taharuki iliyoibuka Miongoni mwa Wananchi Baada ya kutokea kwa matukio ya uhalifi maeneo mbalimbali ikiwemo Tabata, Chanika, Zingiziwa na kunduchi ikihusisha vijana wa Kati ya miaka 13 Hadi 21.

Hali hiyo ndio imemlazimu RC Makalla kuhitisha kikao kazi Cha kukabiliana na uhalifu huo kikihusisha na Kamati ya Ulinzi na usalama Mkoa, Wilaya, Wakuu wa usalama, Makamanda wa Wilaya zote za kipolisi, Wakuu wa Vituo vya Polisi na Maafisa Polisi Jamii wa Kata na kuwapatia maelekezo.

Miongoni mwa maelekezo aliyotoa RC Makalla ni pamoja na Kamati za ulinzi na usalama ngazi ya Wilaya kufanya kikao na Wenyeviti wote wa Mitaa usika agenda ikiwa kudhibiti uhalifu.

Aidha RC Makalla ameelekeza OCD, Wakuu wa Vituo vya Polisi na Polisi Jamii kuongeza doria za Mitaa kwa kutumia magari na Pikipiki ambapo pia ameelekeza Kila Mkoa wa kipolisi kutoa taarifa ya mwenendo wa Operesheni kila siku.*

Hata hivyo RC Makalla ameelekeza Jeshi la Polisi kuanza msako wa kuwakamata *wanunuzi wa Mali za Wizi huku akiwataka Wakuu wa Wilaya kuweka utaratibu mzuri wa kuanza kuwatumia Askari Mgambo katika kuongezea Nguvu Jeshi la Polisi.

Pamoja na hayo RC Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuondoa hofu kwakuwa Serikali kupitia Jeshi la Polisi limejipanga kudhibiti uhalifu wowote.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema Jeshi Hilo limejipanga kutekeleza maelekezo ya RC Makalla ambapo amesema tayari wanawashikilia Watuhumiwa mbalimbali

RC Makalla akiwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa Ndg Lawrence Malangwa upande wa kushoto na Kamanda Jumanne Muliro Kulia wakati wa Kikao kazi Anatoglo Mnazimmoja DSM

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa