• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila: Kasimameni Kufanya Kazi wala Msiogope Chochote

Posted on: March 13th, 2024

 

- Binadamu kwenye kila utakachofanya ana majibu ya pande mbili
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 13, 2024 ametoa rai kwa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi Rehema Madenge ambaye amehamishiwa Ruvuma na Katibu Tawala mpya wa Mkoa huo Dkt Toba Nguvila pamoja na watumishi wengine wakati wa Kikao cha kumuaga Katibu Tawala huyo na kumkaribisha Katibu Tawala mpya katika ukumbi wa Anatoglo Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam

Akiongea katika kikao hicho ambacho kilihudhuriwa na Kamati ya usalama ya Mkoa, Wakuu wa Taasisi na Mashirika yaliyoko katika Mkoa huo pamoja na Viongozi wa CCM Mkoa, RC Chalamila amesema " Fanyeni kazi kwa nguvu zote kwa kujiamini bila kuogopa chochote binadamu siku zote anamajibu ya pande mbili ukifanya vizuri ana jibu na usipofanya vizuri anajibu pia" Leo uko Mkoa wa Dar es Salaam utasifiwa sana siku ukihamishwa binadamu yule yule utasikia tulijua tu hawezi yule...Alise RC ChalamilaAidha aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi Rehema Madenge amesema mabadiliko ndio Utumishi amewashukuru watumishi wote katika Mkoa huo kwa ushirikiano wao katika Kipindi chote akiwa DSM ana anawakaribisha sana Ruvuma.
Naye Katibu Tawala mpya Dkt Toba Nguvila amebisha hodi katika Mkoa huo ambapo amesema kikubwa anachokiomba ni ushirikiano ili kuweza kuwahudumia wakazi wa Dar es Salaam na Taifa kwa Ujumla.
Mwisho kwa niaba ya Kamati ya Usalama ya Mkoa Afande Jumanne Muliro amemshukuru RAS Madenge kwa malezi na ushauri wake kwa kamati ya usalama ya Mkoa ambapo amesema ni imani yake kuwa Katibu Tawala mpya Dkt Toba Nguvila ambaye amepokea kijiti ataendelea vema kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais Dkt Samia Suluhu Kuzindua Kituo cha Uwekezaji Ubungo - EACLC Aug 1,2025

    July 30, 2025
  • Tanzania Mwenyeji Ufunguzi wa "African Nations Championship" CHAN

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Akutana na Meya wa Jiji la Dallas-Marekani

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Aelekeza Kuundwa Kamati ya Kutatua Mgogoro wa Ardhi Sahara-Mabibo

    July 19, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa