• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azindua Tawi Jipya la Benk ya Maendeleo-Zakhiem Mbagala

Posted on: May 22nd, 2024

 

-Asema kuongezeka kwa Benk ni kichocheo cha makuzi ya uchumi wa mtu mmojammoja na Taifa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 22,2024 amefungua rasmi tawi jipya la Benk ya Maendeleo Mbagala Zakhiem Wilaya ya Temeke Jijini humo.

Akiongea wakati wa hafla ya ufunguzi wa Benk hiyo ameipongeza menegimenti ya Maendeleo Benk kwa uwekezaji mkubwa na namna walivyojipanga kutoa huduma bora za kibenk katika Mkoa wa Dar es salaam hususani kwa wakazi wa Mbagala.

Mhe Chalamila amesema Benk ni Kichocheo cha uchumi wa mtu mmojammoja na taifa kwa ujumla ambapo amewataka wafanyakazi wa benk hiyo kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia maadili ya kibenk ili kuwezesha kukua kwa benk hiyo

“Chakula cha benk ni Mikopo hivyo unapochukua mkopo hakikisha unakuwa na nidhamu ya kutosha ya urejeshaji” Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amesema serikali inaendelea kuweka mazingira bora na Rafiki ya uwekezaji katika sekta ya Benk ndio maana leo tunashuhudia maendeleo benk wakiongeza tawi jipya katika eneo hili la mbagala huu ni uthibitisho wa sera nzuri zilizowekwa na Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania chini ya Rais mahiri Dkt Samia Suluhu Hassan.

Vilevile Mkuu wa Mkoa ameihakikishia benk hiyo usalama wa kutosha wakati wote na dhamila ya serikali ya mkoa ni kuweka kituo kikubwa cha polisi Mbagala ikiwa ni moja ya maandalizi ya kuelekea kufanya biashara Saa 24 ili kukuza uchumi wa wanambagala na Taifa kwa Ujumla

Mwisho  Mhe Chalamila alikabidhi mfano wa Hundi kwa baadhi ya wateja wa benk hiyo ikiwa ni kiashiria cha Benk kuanza kufanya kazi rasmi.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais Dkt Samia Suluhu Kuzindua Kituo cha Uwekezaji Ubungo - EACLC Aug 1,2025

    July 30, 2025
  • Tanzania Mwenyeji Ufunguzi wa "African Nations Championship" CHAN

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Akutana na Meya wa Jiji la Dallas-Marekani

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Aelekeza Kuundwa Kamati ya Kutatua Mgogoro wa Ardhi Sahara-Mabibo

    July 19, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa