• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azindua Kampeni " Shell Tumerudi Kivingine Kata Kilomita"

Posted on: October 7th, 2024

Vivo Energy Tanzania, kampuni inayosambaza vilainishi vya Shell na Engen, imezindua rasmi kampeni yake mpya kabisa, ‘Shell Tumerudi Kivingine Kata Kilomita’, inayolenga kurudisha upya vilainishi vya Shell katika soko la Tanzania.

Mhe Chalamila amezindua kampeni hii Leo Oktoba 7,2024 akishirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vivo Energy,  Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Viongozi pamoja na watumishi wa kampuni katika makao makuu ya kampuni hiyo Masaki jijini humo.

Mhe Chalamila ameipongeza kampuni hiyo akibainisha kuwa kampeni hii inalingana na malengo ya maendeleo ya Taifa. “Serikali ya Tanzania imeweka mazingira wezeshi kwa biashara kustawi, hasa katika sekta ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa viwanda na maendeleo ya kiuchumi ya taifa letu, Kurudishwa kwa vilainishi vya ubora wa juu vya Shell kwenye soko letu ni hatua kubwa mbele katika kuchangia dira yetu ya 2025 ya ukuaji endelevu wa uchumi,” alisema Chalamila

Vilevile Mkurugenzi Mtendaji wa Vivo Energy Tanzania, Bw.Mohamed Bougriba, alisema kuwa kampeni hii ni ishara ya kujitolea kwa kampuni hiyo kutoa bidhaa bora na huduma bora kwa wateja wake. “Tunafurahi kuwapa wateja wetu vilainishi vya Shell kwa namna inayowapa ubora, uaminifu, na ubunifu wa chapa hii ya Kimataifa,” alisema Bougriba.

Kwa upande wa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vivo Energy Tanzania, Aileen Meena, alieleza kuwa kampeni hii inalenga kuwawezesha watanzania kuboresha maisha yao ya kila siku kwa kutumia bidhaa za ubora wa juu pia kampeni hii itawawezesha  watanzania kubadilisha shughuli zao za kila siku kwa kutumia bidhaa za utendaji wa hali ya juu na ushirikiano endelevu, imara, unaoweza kuleta maendeleo kwa miaka mingi ijayo.

Aidha, RC Chalamila amewahimiza vijana kuchangamkia fursa zinazotokana na kampeni hii, akisisitiza kuwa itaongeza ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Mwisho, kampeni ya ‘Shell Tumerudi Kivingine Kata Kilomita’ itafanyika katika vituo vyote vya huduma vya Engen Nchini, na itatoa fursa kwa wateja kupata bidhaa za Shell kwa bei nafuu na kupata zawadi mbalimbali.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais Dkt Samia Suluhu Kuzindua Kituo cha Uwekezaji Ubungo - EACLC Aug 1,2025

    July 30, 2025
  • Tanzania Mwenyeji Ufunguzi wa "African Nations Championship" CHAN

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Akutana na Meya wa Jiji la Dallas-Marekani

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Aelekeza Kuundwa Kamati ya Kutatua Mgogoro wa Ardhi Sahara-Mabibo

    July 19, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa