• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Wadau wa Mazingira na Usafishaji Mito, Ataka Maboresho katika mfumo wa Utendaji Kazi

Posted on: September 26th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 26,2023 amekutana na wakandarasi wanaosafisha mito katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo, Wenyeviti wa mitaa, wasafishaji wadogo wa mito na wachimbaji wa madini mchanga, wataalam wa bonde na Kikosi kazi kinachoratibu usafi wa mito na utunzaji wa mazingira ndani ya Mkoa.

RC Chalamila amekutana na wadau hao pamoja na wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa huo ikiwa ni muendelezo wa Serikali  ya Mkoa huo kujipanga au kufanya maandalizi ya kukabiliana na mvua kali za EL-NINO ambazo zimetabiliwa kunyesha katika Kipindi cha hivi karibuni kwa mujibu wa utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA )

Mhe Mkuu wa Mkoa katika kikao hicho  alipata wasaa wa kuwasikiliza wadau hao namna wanavyotekeleza majukumu yao maoni na ushauri wao ambao ulionyesha sura nzima ya nini kinafanyika na Changamoto wanazokutana nazo wakandarasi wanaosafisha mito wanaotumia na  machepe katika usafishaji huo  

Aidha RC Chalamila baada ya kuwasikiliza wadau hao ametoa maagizo yafuatayo ikiwemo Kikosi kazi pamoja na miongozo iliyoko ya usafishaji mito iboreshwe, kupitia upya uongozi ulioko wa wakandarasi, kikosi kazi kurudi tena kuangalia malalamiko ya wadau yana hoja, kupitia muda wa utoaji vibali vya mikataba, Wenyeviti wa mitaa watengeneze fursa za ajira kwa vijana katika mitaa yao, hatua dhidi ya uchimbaji holela zichukuliwe na Viongozi katika Wilaya zote, baadhi ya wakandarasi kuacha mara moja kuzoa mchanga badala ya kusafisha mito.

Kwa upande wa wadau mazingira pamoja na wenyeviti wa Serikali za Mitaa wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa kupokea maagizo yake yenye tija katika pande zote ili kuweza kuboresha mfumo mzima wa Utendaji kazi na usimamizi mzuri wa usafishaji mito kwa masilahi mapana ya watu na kupambana na athari zinazotokana na uharibifu wa mazingira hususani katika mito iliyoko ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Rais Dkt Samia Suluhu Kuzindua Kituo cha Uwekezaji Ubungo - EACLC Aug 1,2025

    July 30, 2025
  • Tanzania Mwenyeji Ufunguzi wa "African Nations Championship" CHAN

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Akutana na Meya wa Jiji la Dallas-Marekani

    July 21, 2025
  • RC Chalamila Aelekeza Kuundwa Kamati ya Kutatua Mgogoro wa Ardhi Sahara-Mabibo

    July 19, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa