Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo ametembelea eneo la Maafa Kariakoo kujionea athari za kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika mtaa wa mchikichi ambapo alipata wasaa wa kukagua na kuongea na wananchi pamoja na kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa kupoteza wapendwa wao ambapo amesema misiba hiyo siyo pengo kwa familia tu bali ni pengo pia kwa watanzania wote na Taifa kwa Ujumla.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa