Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam inahusika na kutoa huduma za uhamisho kwa Wanafunzi kutoka Wilaya moja kwenda Wilaya nyingine au Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine na taratibu zote zinashughulikiwa na Katibu Tawala Msaidizi Elimu
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa