Wataalamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria leo Juni 11, 2025 wamekutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila.
Pamoja na mambo mengine Wataalamu hao wamekuja na ujumbe maalum wa Kampeni Kabambe ya Mama Samia Legal Aid ambayo inatarajiwa kuzinduliwa katika Mkoa huo hivi karibuni
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa