- Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu chajo kuokoa maisha ya Watanzania
- Awashukuru Aghakan Hospital Na EU ( European Union) Kwa kufanikisha matembezi, Mafunzo ya watendaji Afya Na ukarabati jengo la wazazi Amana.
-DSM imevuka lengo la awamu ya kwanza la kuchanja watu 3,310,000 Na waliochanja ni watu 3.400,000
- Awahamasisha Wananchi wote kuchanja kuwa Na uhakika wa kujikinga na hatari ya ugonjwa wa uviko -19
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amewahamisha wananchi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kuchanja ili kujikinga Na UVIKO 19.
RC Makalla ameyasema hayo leo wakati wa matembezi yaliyoandaliwa Na Hospitali ya AGHAKAN kwa kushirikiana na EU kuhamisha wananchi kuchanja dhidi ya Uviko-19.
Aidha RC Makalla ameshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu chanjo nchini uamuzi ambao amesema imeokoa vifo Na pia umesaidia watanzania kuweza kusafiri nje ya nchi bila tatizo
Pamoja na hayo *RC Makalla* Amewashukuru *Aghakan hospital Na EU* kwa kufanikisha ukarabati wa *wodi ya wazazi Hospital ya rufaa Amana, Mafunzo kwa watendaji wa Afya Na elimu ya uviko 19
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa