• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azindua Mashindano ya Bodaboda CUP

Posted on: August 17th, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila Chalamila leo Agosti 17, 2024 amezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa madereva wa bodaboda mkoa wa Dar es salaam yanayoendeshwa na kanisa la Arise and Shine chini ya Mchungaji Mwamposa ambapo Mkuu wa Mkoa amelipongeza kanisa hilo na kuwataka viongozi wa dini kuiga mfano huo unaooneshwa na Mchungaji Mwamposa huku akikemea tabia ya kubeza kazi nzuri inayofanya na kanisa la Arise and shine

Mhe Albert Chalamila  amewataka viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na Serikali kwenye masuala mbalimbali ya kijamii ikiwemo uwezeshaji kwa vijana ili kuwa na Taifa lenye vijana waadilifu,wachapakazi, wapenda amani na wenye hofu ya Mungu

Aidha Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule amewataka vijana kuendelea kuwa walinzi wa amani ya nchi kwa kuhakikisha hawashiriki kwenye matendo maovu na kufichua wahalifu na kueleza kuwa bodaboda ni kiungo muhimu kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi kwani hurahisisha usafiri

Naye Mwanzilishi wa mashindano hayo ya bodaboda Cup Mchungaji wa makanisa ya Arise and ShineMchumgaji Boniface Mwamposa amesema kanisa lake linatambua mchango wa bodaboda katika kusafirisha waumini kwenda kanisani na kwenye shughuli mbalimbali hivyo mashindano hayo ni katika kutambua na kurejesha fadhila kwa madereva wa bodaboda

Hata hivyo Mkurugenzi kituo cha Radio cha Efm na TvE Francis Siza maarufu kama Majizo aliposhiriki uzinduzi huo amesema anatambua umuhimu wa boda boda kama maafisa usafirishaji na amekuwa akishirikiana nao kila siku na kwamba ataendelea kushirikiana nao wakati wote

Mwisho mashindano hayo yaliyoandaliwa na Mchungaji wa Makanisa ya Arise and Shine Boniface Mwamposa yatashirikisha timu 60 kutoka wilaya zote tano za Mkoa wa Dar es salaam ambapo mshindi wa kwanda atapata bodaboda 5,mshindi wa pili bodaboda 3 na mshindi wa 3 badaboda 2

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa