Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bi Rehema Madenge akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa mara baada ya kuhitimisha kikao maalum cha Baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sekretarieti hiyo Ilala boma Jijini Dar es salaam.
Bi Rehema Madenge aliyeketi katikati akiwa katika picha na baadhi ya wakuu wa sehemu wa Sekretarieti ya Mkoa wa DSM .
Watumishi wa Sekretariati ya Mkoa ambao ni wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja na katibu Tawala wa Mkoa huo ambaye ni mwenyekiti wa Baraza hilo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa