Baadhi ya Vijana wa Jogging Wilaya ya Ilala wakifanya mazoezi katika maadhimisho ya Wiki ya Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Mashujaa Mnazimmoja
Mkoa wa Dar es Salaam katika Wilaya zote umeendelea kuhamasisha wananchi kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kwa kupima Afya zao na kufanya mazoezi.
Wataam wa Afya wakiendelea kutoa ushauri na kupima Afya katika maashimisho ya wiki ya ya magonjwa yasiyoambukiza
Wataalam wa Afya kituo cha Afya Kawe wakitoa elimu kwa Jamii katika Maadhimisho ya wiki ya Magonjwa yasiyoambukiza
Hamasa ya kufanya mazoezi ikiendelea Wilaya ya Kigamboni ikiwa ni muendelezo wa Maadhimisho ya Wiki ya Magonjwa yasiyoambukiza.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa