Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda leo tarehe 06/09/2018 saa tatu asubuhi atakuwa na ziara ya ukaguzi wa miradi ya ujenzi wa barabara mbali mbali inayoendelea hapa Mkoani chini ya wakala wa barabara TANROADS kama ifuatavyo.
1. Ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Wazo-Madale-Goba yenye urefu wa Km 5.075 unaojengwa kwa kiwango cha lami.
2. Ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Malamba Mawili-Msigani kifuru wenye Urefu wa Km 2.6
Katika ukaguzi huo pia Mkuu wa Mkoa atapata nafasi ya kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wa karibu na maeneo hayo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa