SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA MABORESHO MIUNDOMBINU YA UMEME MKOA WA DAR ES SALAAM
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia Wateja wake wa Mkoa wa Dar Es salaam pamoja na wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani kuwa, kutakuwa na maboresho katika miundombinu ya umeme ili kuendana na ukuaji wa matumizi ya umeme katika maeneo hayo.
Maboresho hayo yatahusisha kuvuta waya katika njia ya msongo wa kilovolti 132 kutoka kituo cha Ubungo hadi kituo cha Kipawa.
Wakati wa kufanya maboresho hayo TANESCO italazimika kusitisha huduma ya umeme mara mbili kila wiki kwenye baadhi ya meaneo ya Mikoa ya Dar Es Salaam na Pwani kwa ajili ya usalama.
Kazi hii inatarajiwa kufanyika kuanzia mwezi Septemba hadi Novemba 2018.
MUDA: Kuanzia Saa1:30 Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni.
TAREHE: Septemba 18, 19, 25 na 26
Octoba 2, 3, 9, 10, 16, 17, 23, 24, 30 na 31
Novemba 6 na 7
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
(i). MKOA WA KITANESCO WA ILALA & PWANI
Tabata yote, Gongolamboto, Kisarawe, Kivule, Kitunda, Chanika,
Nyerere road kuanzia Tazara, Kiwalani, Karakata, Ukonga,
Mongolandege, Bangulo, Pugu na Mwanagati
(ii). MKOA WA KITANESCO WA TEMEKE
Tandika yote, Mvomero street, Majaribio, Azimio kusini, Temeke Mwisho, kwa
Azizi Ally stand, Equator grill, Kitomondo, Sabasaba ground, Uwanja sifa ccm,
Kilimo, Mandela, Dispensary, Twalipo, TPDF, Shirika la Nyumba, Temeke Hospital
Soko la Sterio, Mtoni Unguja, Mashine ya maji no 5, Yombo yote, Daviscorner,
Makaburi City, Machimbo lumo, Mwisho wa Lami, Meneo ya sheratoni
Maguruwe, Sandali, Chuo cha bandari, Temeke, Maganga, Mikoroshini, Magorofa ya
Tazara, Wizara kilimo, Mwakalinga(jeje industry), Temeke Sudani, Dar group
Hospital, Alaf, Camel steel, Bakhresa, Steel Master, Qulam vita foam, Simba
plastic, Sil africa, Cello
(iii). MKOA WA KITANESCO WA KINONDONI KUSINI
Makoka yote, Kimara kilungule, Kimara Baruti, Bonyokwa, Suka,
Kimara Golan, Saranga, Msingwa, Kwa Musuguri,Mbezi Msigani,
Malamba Mawili, Kwembe, Mdidimua, Kibwegere, Kibamba yote.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza na tunaomba uvumilivu wakati wa maboresho.
Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz,
Mitandao ya kijamii
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
Septemba 04, 2018
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa