Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda anawaalika Vijana wote wenye Utaalamu wa Teknolojia ya IT kufika Ofisini kwake tarehe 1/11/2018 asubuhi kwa ajili ya Kuunda Mfumo wa Kuratibu Uwajibikaji wa Watendaji wa Umma ili Kuhakikisha Kero na Malalamiko ya Wananchi Yanashughulikiwa kwa Haraka
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa