• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Zaidi ya Bilioni 16 Kutumika Kupitisha Umeme Ardhini

Posted on: February 20th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 20, 2024 amehitimisha ziara yake Wilaya ya Temeke katika Jimbo la Temeke kwa kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo mradi mkubwa wa kupitisha umeme ardhini (Underground Cable) maeneo ya kurasini Wilaya ya Temeke
RC Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika nyanja mbalimbali zinazogusa ustawi wa jamii ikiwemo nyanja ya nishati kwa kutoa kiasi hicho cha pesa ambapo ifikapo machi mradi utakuwa umekamilika hivyo wananchi wataondokana na kadhia ya kukatikakatika kwa umeme
Aidha RC Chalamila amesema cable inayowekwa ardhini inauwezo wa kupitisha umeme takribani megawati 100 ina urefu wa kilomita 6.8 ambayo ndio mwarobaini wa kukatika kwa umeme " uwekezaji huu ni wa pesa nyingi ni lazima tumshukuru Rais Dkt Samia" Alisistiza RC Chalamila

Vilevile RC Chalamila ametembelea miradi mingine ya elimu ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa na kuweka jiwe la msingi baadhi ya miradi ambapo kwa sehemu kubwa katika miradi yote aliyopitia ameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo.Sambamba na hilo RC Chalamila amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Lumo Temeke ambapo amesikiliza kero mbalimbali za wananchi na kuzipatia majawabu papo hapo.
Ifahamike kuwa kesho Februari 21,2024 RC Chalamila anatarajia kuendelea na ziara yake ya kutembelea miradi, kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Wilaya ya Kinondoni.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa