• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Wilaya ya Ubungo yaupiga Mwingi, Miradi yote yapitishwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024

Posted on: May 12th, 2024

-Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 katika Wilaya ya Ubungo umepitia miradi mbalimbali ya maendeleo hakuna mradi  uliokataliwa

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Ubungo leo Mei 12,2024  umekimbizwa umbali wa KM 64.5 umetembelea, umekagua, umeweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya Tsh 306,917,122,909.99/=

Sanjari na hilo Mwenge wa Uhuru 2024 katika Wilaya hiyo umeendelea kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kupitia Ujumbe  wa mbio hizo mwaka huu unaosema "Uhifadhi wa Mazingira na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Ujumbe wa kudumu wa Mbio za Mwenge Uhuru katika mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI, Malaria, Dawa za Kulevya na Rushwa

Aidha miradi iliyopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 katika Wilaya ya Ubungo ni mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kinzudi, Ujenzi wa Shule Mpya ya msingi Kibamba B, Mradi wa Mfumo wa kusukuma maji Luguluni- DAWASA, Kikundi cha Urican Printing Sinza, Mradi wa Uhifadhi wa taka kwenye vizimba, kutembelea mradi wa huduma za jamii X - Ubungo, Kutembelea Ujenzi wa Madarasa Yusuf Makamba, Uzinduzi wa Kituo cha Afya Makuburi

Mwenge wa Uhuru 2024 katika Mkoa wa Dar es Salaam umekimbizwa katika Wilaya zote Tano ambapo Mbio hizo zimehitimishwa leo Mei 12,2024 katika Wilaya ya Ubungo kesho Mei 13, Mwenge wa Uhuru 2024 ukiongozwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg Godfrey Eliakimu Mnzava inatarajiwa kikabidhiwa Kusini Pemba na Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila

Matangazo

  • NISHATI SAFI MASHINANI MKOA WA DAR ES SALAAM JANUARI 2026 February 03, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Tanzania Mwenyeji wa Mkutano wa Zana Endelevu za Kilimo Afrika

    February 02, 2026
  • Katibu Tawala wa Mkoa wa DSM Ndg Abdul Mhinte Aongoza Kikao cha Robo Mwaka

    January 30, 2026
  • RC Chalamila Akabidhi Hundi Bilioni 7.5 Temeke

    January 27, 2026
  • RC Chalamila Aongoza Zoezi la Upandaji Miti Kusherekea Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt Samia

    January 27, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa