• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Waziri OR-TAMISEMI Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Soko la Kariakoo

Posted on: November 15th, 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe Mohamed Mchengerwa akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 15, 2023 ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Soko la Kisasa la Kariakoo ambapo amesema ameridhishwa na maendeleo ya Ujenzi huo.

Amemshukuru Mhe Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa ambazo zinawezesha utekelezaji wa mradi huo mkubwa wa kisasa ambao kukamilika kwake utafungua fursa nyingi pamoja na kuchukua wafanyabishara wengi zaidi tofauti na ilivyokua awali.

Aidha amemtaka mkandarasi kuendelea kujenga katika kiwango stahiki, kuzingatia ubora na thamani ya pesa, pia amesema Soko likikamilika atamuomba Mhe Rais aje kulifungua rasmi.

Vilevile Mhe Albert Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia na Waziri wa OR-TAMISENI ambapo amesema amepokea maelekezo yake yatafanyiwa kazi kwa wakati, pia amemhakikishia kuendelea kumlipa mkandarasi pesa kwa wakati hata hivyo ametoa tahadhari kwa wananchi kuepuka matapeli hadi sasa hakuna chumba kilichopangishwa muda ukifika utaratibu utakuwa wazi lakini kikubwa wananchi wajue uwekezaji uliofanyika ni mkubwa hivyo hata Kodi zitapitiwa tena ili ziendane na uhalisia

Hata hivyo amewataka watakao pata fursa ya kufanya biashara katika Soko hilo kulipa Kodi na sio kukwepa kodi, amesistiza kwa kutambua umuhimu wa Kariakoo Serikali inaendelea Kuimarisha ulinzi na Usalama ili watu wafanye biashara saa 24 pia mifumo ya CCTV camera itafungwa

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Dkt Hussein Ally Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kiibada, Mwasonga-Kimbiji

    April 25, 2025
  • RC Chalamila Dar ni Salama Aeleza Mafaniko na Mipango ya Maendeleo ya Mkoa

    April 18, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa