• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Waziri Jafo Ampongeza RC Makalla kwa Operesheni ya Kukamata Mifuko wa Plastiki

Posted on: September 2nd, 2022

 

- Zaidi ya Tani 41 za Mifuko ya plastiki zimekamatwa.

- Kiwanda chapigwa faini ya Shilingi Milioni 100 kwa utengenezaji wa Mifuko iliyokatazwa.

- Waziri Jafo atoa siku 7 kwa Wafanyabiashara na Wananchi Wenye Mifuko ya plastiki kuisalimisha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya au Kiwanda walichochukulia.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo ametoa muda wa siku 7 kwa Wafanyabiashara na Wananchi Wenye Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuisalimisha kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kupitia kikosi kazi au Kwenye Kiwanda walichochukulia Mzigo ambapo amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla kwa Operesheni ya kukamata Mifuko hiyo.

Waziri Jafo ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara kwenye Kiwanda Swallow investment Ltd kilichopigwa faini ya Shilingi Milioni 100 kwa kosa la kuzalisha Mifuko iliyokatazwa ambapo zaidi ya Tani 41 za Mifuko hiyo zimekamatwa.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Waziri Jafo amempongeza RC Makalla kwa kufanikisha kukamatwa kwa Shehena ya Mifuko hiyo kupitia Operesheni aliyotangaza na kuelekeza *Mikoa mingine kuiga mfano wa Mkoa wa Dar es salaam.

Aidha Waziri Jafo amemtaka Mmiliki wa Kiwanda hicho kulipa faini aliyopigwa ndani ya siku 14 na kuhakikisha anatoa gharama zote za uteketezaji wa mzigo uliokamatwa na Mifuko iliyoingizwa sokoni ahakikishe anaikusanya.

Pamoja na hayo Waziri Jafo ameelekeza Kiwanda hicho kuanza mchakato wa kupata cheti Cha tathimini ya athari za mazingira na kuzitaka Mamlaka za TRA, TBS, NSSF na Taasisi nyingine kufika kiwandani hapo kuona Kama wanazingatia taratibu.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemshukuru Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango* na Waziri wa Mazingira kwa kumuunga mkono kwenye Operesheni hiyo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa