• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

WALEMAVU WALIOKIMBILIA KWA RC MAKONDA SASA WAANZA KUPATA NEEMA

Posted on: November 17th, 2017


Hospitali ya CCBRT imeguswa na kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa PAUL MAKONDA ya kutafuta Miguu Bandia kwa watu wenye uhitaji kwa kuwapatia matibabu Wagonjwa 35 waliokatwa Miguu kutokana na Ugonjwa wa kisukari.

Miguu hiyo ya kisasa ina thamani ya zaidi ya Shilling Million 157 ambapo kati ya Wagonjwa 35 waliokuwa wakitembelea Magongo kwa muda mrefu baada ya kukatwa miguu, 21 wameshawekewa Miguu bandia na sasa wanaendelea na Shuguli zao baada ya kuwa wazima.

RC MAKONDA amesema lengo la kampeni hiyo ni kusaidia wanaotumia Magongo kupata Miguu ya Bandia ya kisasa ili waweze kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa Taifa na kuhudumia Familia.

Ameishukuru Hospital ya CCBRT kwa kuunga mkono kampeni hiyo pamoja E FM RADIO na TV E walioojitolea kuhamasisha jamii kuchangia Miguu Bandia.

Katika hatua nyingine RC MAKONDA amepatiwa kiasi cha Shillingi Millioni 10,000,000 kutoka kampuni ya Ujenzi ya SPECTUM DESIGN ambapo Mkurugenzi wake Arch.JIMMY MKENDA amesema lengo la kutoa mchango huo ni baada ya kuguswa    na kampeni hiyo inayolenga kuwasaidia waliokata tamaa baada ya kupoteza miguu.

Aidha RC MAKONDA amesema kuwa atazungumza na Taasisi zinazotoa Bima ya Afya ili waongeze kipengele cha Matibabu na kutoa Miguu bandia kwa watu waliopoteza Miguu kwa Ajali au Ugonjwa.

Amehamasisha jamii kuchangia kampeni hiyo kupitia CRDB account namba 0150299713500 au kufika Ofisi za Mkuu wa Mkoa au E FM Radio kisha kuwasilisha mchango wao.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa walemavu Hospital ya CCBRT BRENDA MSANGI amewaasa Wananchi kuchangia kampeni hiyo huku akieleza kuwa wataendelea kushirikiana na Mkuu wa Mkoa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa