• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Watu wenye Ulemavu Bodaboda Waandamana Wakitaka Waziri Bashungwa Kutengua Tamko lake

Posted on: April 21st, 2022

RC Makalla akiwasikiliza Bodaboda Walemavu Walioandamana ofisini kwake wakishinikiza Waziri Mhe Innocent Bashungwa kutengua tamko lake

Kufuatia katazo wa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa kuhusu sakata la bodaboda na bajaji kuingia mjini, *Walemavu na Bodaboda wameandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakishinikiza Waziri Kutengua tamko alilotoa.

Hatua ya Walemavu na Bodaboda kuandamana imekuja Kufuatia Tamko la Waziri Bashungwa kukinzana na Makubaliano ya pamoja na utaratibu mzuri uliokuwa umewekwa tangu mwanzo baina ya Waendesha Bajaji Wenye ulemavu na Waendesha bodaboda.

Miongoni mwa Makubaliano hayo ni pamoja na Bajaji za watu Wenye ulemavu kuruhusuwa kuingia katikati ya mji na kuegesha kwenye Vituo vitatu walivyopangiwa, Bajaji za wasio na ulemavu kutoruhusiwa kuingia katikati ya mji, Bodaboda zilizosajiliwa na kukidhi vigezo kuruhusuwa kuegesha kwenye Vituo Saba katikati ya mji na Bodaboda zisizokuwa na Vibali kuruhusiwa kuingia mjini Kwa kigezo Cha kushusha abiria na kugeuza.

Katika jitiada za kutuliza maandamano hayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelazimika kufanya mawasiliano ya simu na Waziri Bashungwa na kumuelezea Hali halisi ya maandamano hayo na madai ya waandamanaji kushinikiza kutumika kwa utaratibu waliokuwa wamejiwekea awali  ambapo Baada ya kuridhika na utaratibu mzuri uliokuwa umewekwa, Waziri Bashungwa ameridhia kuendelea kwa utaratibu uliokuwa ukitumika awali  wa Pikipiki na Bajaji kuingia Katikati ya mji Kwa mujibu wa makubaliano na maridhiano ya pamoja yaliyokuwa yamewekwa baina ya Waendesha Bajaji Wenye ulemavu na waendesha bodaboda.

Uamuzi huo umepokelewa kwa mikono miwili na Wandamanaji hao ambao *wameahidi kuendesha Shughuli zao pasipokuvunja makubaliano na utaratibu wa pamoja waliokuwa wamejiwekea awali kwakuwa umehusisha na kukidhi matakwa ya pande zote

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa