• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Kulipwa Fidia Kupisha Uendelezaji wa Bonde hilo

Posted on: November 15th, 2023


Hayo yamejiri leo Novemba 15, 2023 wakati Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Mhe  Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila alipokutana na wakazi hao katika viunga vya Ofisi za Young African Ilala Jijini Dar es Salaam

Akiongea na Wananchi hao Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI ametoa Kauli ya Serikali ya kuwalipa wakazi hao kuanzia kesho Novemba 16, 2023 ambapo hadi sasa asilimia zaidi ya 92 wameshahakikiwa wanasubiri kulipwa.

Mhe Mchengerwa amefafanua kuwa fidia itakayolipwa ni ya uthamini wa jengo na sio Ardhi, kwa mujibu wa sheria hawapaswi kulipwa fidia ya Ardhi kwa sababu wakazi hao wamejenga katika maeneo hatarishi lakini kwa upendo wa kipekee wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza kila mkazi wa eneo hilo atapewa kifuta jasho cha shilingi milioni 4 kiasi ambacho kiko nje ya fidia halisi ya Jengo.

Aidha Waziri wa OR-TAMISENI amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu amedhamiria kufanya Ujenzi wa kisasa wa barabara ya juu Jangwani ambayo inakwenda kuondoa kero ya mafuriko hivyo Ujenzi huo unakwenda sambamba na maboresho na uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi kwa ujumla wake.

Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa anaoufanya katika Mkoa huo wenye masilahi mapana ya Umma ambapo amewataka wananchi na wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi kutii Kauli ya Serikali kamywe wasirubuniwe wala kudanganyana Serikali inafanya uwekezaji Msimbazi kwa masilahi mapana ya watu wengi " Mtu anakudanganya usisaini kuchukua fidia hiyo wakati yeye alishasini siku nyingi, mkitaka niwataje nitawataja" Alisema RC ChalamilaW

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa