• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

"Ushuru wa Maegesho Kukusanywa Kidigitali Kuanzia Septemba Mosi Dar" RC Makalla.

Posted on: August 24th, 2021

 

Mhe Amos Makalla akisoma bango mara baada kuzindua mfumo huo katika ukumbi wa mikutano DMDP Ilala Jijini Dar es Salaam.


-Asema mfumo huo wa kidigitali utaongeza makusanyo na kudhibiti upotevu wa mapato ya maegesho

-Mfumo huo pia utapunguza kero kwa wananchi

-Awaonya vishoka wa maegesho kuacha mara moja kwa kuwa mfumo huo ndio mwarobaini kwao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukusanyaji wa ushuru wa maegesho kwa njia ya mtandao(kidigitali) mapema leo.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla amezindua mfumo wa kidigitali kukusanya ushuru wa maegesho kwa Mkoa wa Dar es Salaam  unaojulikana kwa jina la "termis" unaotarajiwa kuanza rasmi septemba mosi 2021

Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo Agosti 24, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa DMDP Ilala Jijini Dar es Salaam.

Akifungua hafla ya uzinduzi wa mfumo huo Mhe Amos Makalla amewapongeza TARURA kwa kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2021 ya matumizi sahihi ya TEHAMA ili kuchochea maendeleo.

Mhe Makalla amesema kutokana na mfumo huo wa kidigitali wa kukusanya ushuru wa maegesho utadhibiti upotevu wa mapato hivyo matarajio ni kuwa na makusanyo makubwa au mapato kuongezeka zaidi na zaidi.

Vilevile mfumo huo utaondoa kero kwa wananchi kwa kuwa sasa wanaweza kufanya malipo kiganjani kwa kutumia simu janja yaani "Smartphone".
Aidha Mhe Mkuu wa Mkoa amewaelekeza TARURA  kuweka mabango katika maeneo ya maegesho ili kuepusha usumbufu usio wa lazima kwa wananchi wa "wrong Parking"
Sambamba na hilo Mhe Makalla ameendelea kutoa onyo kwa vishoka wanaokusanya ushuru wa maegesho katika Mkoa wa Dar es Salaam kwa kuwa mfumo umepatikana ametoa rai wananchi kuutumia mfumo wa kidigitali ndio utakomesha biashara ya vishoka hao wa maegesho.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa