• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Ujumbe kwa Njia ya Simu Wamfikisha RC Chalamila Kawe

Posted on: February 6th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 6, 2024 amefika Nyumbani kwa Bi Asha Said mkazi wa Kawe Manispaa ya Kinondoni baada ya kupokea ujumbe kwa njia ya simu ambao alimueleza matatizo yake ya Kiafya ambayo amekuwa akiteseka nayo kwa zaidi ya miaka sita (6)

RC Chalamila katika msafara wake aliambatana na Mganga Mkuu wa Mkoa pamoja na Wataalam wengine wa Afya ambapo alisema Mkoa wa Dar es Salaam kupitia Ofisi yake imejiwekea utaratibu maalum wa kuwafikia watu wenye Changamoto za Afya katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Aidha RC Chalamila amesema Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amekuwa akiguswa na Changamoto mbalimbali za wananchi na amekuwa mstari wa mbele kuzipatia ufumbuzi hasa ukizingatia yeye ni Mama "hivyo ujio wangu hapa ninamwakilisha yeye Mhe Rais Dkt Samia" Alisema RC Chalamila

Vilevile RC Chalamila amemuahakikishia Bi Asha Said kupatiwa matibabu ya figo katika Hospitali ya Mwananyala, pamoja na bima ya Afya pia amempatia mtaji wa kumuwezesha kufanya biashara ndogondogo kwa kua ameonekana kuwa na kipawa cha ususi wa nywele na anauwezo wa kutengeneza mafuta ya Nazi.

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Mohamed Mang'una amesema Mkoa utaendelea kuwafikia wote wenye uhitaji wa kiafya na Bi Asha Said atapatiwa huduma ya uchujaji wa damu bure katika awamu zote zinazotakiwa.

Ifahamike kuwa Bi Asha Said Amezaliwa na ulemavu wa miguu na kukosa sehemu ya haja kumbwa awali alifanyiwa upasuaji wa kumuwezesha kupata haja kubwa na baadaye akapa Changamoto ya figo ambayo imeendelea kumsumbua hadi sasa hivyo RC Chalamila ametoa rai kwa watu wengine kuyapa kipaumbele matendo ya huruma kwa kuwa ni sadaka.

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 22-26 DISEMBA 2025 DSM December 22, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila " Tuendelee Kudumisha Amani Tunaposherekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2026"

    December 31, 2025
  • Dkt Mwigulu Nchemba Aunga Mkono Ujenzi wa Kituo cha Daladala Bunju B

    December 29, 2025
  • RC Chalamila Ashiriki Ibada ya Sikukuu ya Christmas Usharika wa KKKT Kimara Korogwe

    December 25, 2025
  • Ziara ya Naibu Waziri OWM-TAMISEMI MHE Reuben Kwagilwa Dar

    December 22, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa