• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

UBA Benki Yazindua Huduma Maalum ya Kibenki kwa Wasio Ona

Posted on: November 17th, 2023

Akizindua huduma hiyo ya kibenki kwa watu  wasio ona leo Novemba 17, 2023 katika Tawi la Benki hiyo Kijitonyama Wilaya ya Kinondoni, Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameipongeza Benki hiyo kwa ubunifu ambao unafungua fursa za kibenki kwa kundi maalum la watu wasiona na imekuwa Benki ya kwanza hapa nchini kulifikia kundi hilo muhimu.

Aidha ameitaka menejimenti ya Benki hiyo kuendelea kuwa na ubunifu, kutanua wigo wa soko la Benki kwa kuongeza matawi, kuwa na wahudumu wazuri watakao hudumia watu wenye ulemavu, kuwa na mkalimani na kuendelea kutoa huduma rafiki katika kundi hilo maalum "UBA Benki mmewatendea haki watu wasiona, Benki hii ni nzurii watumishi kuweni waadilifu endeleeni kufanya Kazi kwa bidii" Alisema RC Chalamila

Aidha Mtendaji Mkuu wa Benki ya UBA Bwana Gbenga Makinde amesema kwa sasa UBA ina matawi mnne, dhamira ya Benki ni kutoa huduma bora za Kibenki kwa Watanzania hususani wakazi wa Dar es Salaam kwa kuzingatia mahitaji ya makundi yote.

Ifahamike kuwa Serikali ya Awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan imekua ikitoa kipaumbele kwa makundi maalum hapa nchini kwa kuboresha huduma zao katika nyanja mbalimbali ikiwemo uwezeshaji makundi hayo kiuchumi hivyo UBA Benki imeenda sambamba na dhamira ya Mhe Rais ambapo kupitia huduma hiyo sasa watu wenye ulemavu wa kutoona wamepatiwa fursa adhimu ya kufanya miamala ya kibenki

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Dkt Hussein Ally Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kiibada, Mwasonga-Kimbiji

    April 25, 2025
  • RC Chalamila Dar ni Salama Aeleza Mafaniko na Mipango ya Maendeleo ya Mkoa

    April 18, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa