Matukio katika picha wakati wa kusaini mkataba wa makubaliano ya mashirikiano kati ya Water Aid na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na Halmshauri ya Jiji, Kigamboni na Temeke kwa lengo la kuboresha miundombinu ya maji na usafi wa mazingira pia kutoa elimu kwa umma juu ya Lishe bora na kujikinga na magonjwa yanayotokana na uchafu wa Mazingira.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa