• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

TAG Mwenge Yatoa Tuzo Maalum kwa RC Chalamila

Posted on: January 1st, 2024

Tanzania Assemblies of God (TAG) Mwenge Christian Center ( MCC) kupitia hafla ya mkesha wa mwaka mpya 2024 imetoa Tuzo ya Heshima kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila  kutambua mchango wake katika kutunza na kuendeleza maadili ya kitanzania hususani katika Mkoa huo.

Akiongea wakati anakabidhi Tuzo hiyo kwa muwakilishi wa Mkuu Mkoa wakati wa mkesha huo Mhe Diwani wa Kata ya Kijitonyama Mhe Dama Samora, Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Mch Abdiel Meshack Mhini amesema amekua akifuatilia namna Mkuu wa Mkoa anvyokemea kwa vitendo tabia ovu zinazofanyika katika jamii zetu ikiwemo matumizi ya madawa ya kulevya, biashara za ngono kupitia madangulo ambapo Mkuu wa Mkoa amekua akipita yeye mwenyewe kubomoa madangulo " vitendo hivyo vya kutunza na kuendeleza maadili ya kitanzania ambayo mkuu wa Mkoa amekuwa akifanya TAG Mwenge tumeona tumtie moyo kwa kumpatia Tuzo hii" Alisema Mch Abdiel Mhini.

Aidha Mch Abdiel Meshack Mhini katika risala yake amesema Kanisa limekuwa likishirikiana na Serikali inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na wadau wengine katika kuijenga jamii ya kitanzania inayoheshimu katiba na sheria za nchi kujenga na kulinda maadili mema na kuwafanya wengi kuwa wacha Mungu.

Vilevile Mch Abdiel amesema Kanisa linapitia Changamoto mbalimbali wakati wa kutoa huduma za kiroho ambazo amiomba Serikali kuzipatia ufumbuzi kama vile kukatika kwa umeme mara kwa mara, miundombinu ya barabara kufika kanisani hapo ni mibovu, pia urasimu wa kutoa vibali katika ofisi za Serikali pale ambapo kanisa linahitaji kibali fulani

Kwa upande wa muwakilishi wa Mkuu wa Mkoa Mhe Dama Samora  amewapongeza kwa maandalizi mazuri ya mkesha huo, na kuwataka kuondoa shaka katika changamoto wanazopitia ambapo amewahakikishia kumfikishia mkuu wa Mkoa risala waliyoisoma kama ilivyo kwa utekelezaji.

Ifahamike kuwa Kanisa la TAG Mwenge liliandaa mkesha maalum kwa kuabudu na kuomba kwa ajili ya mtu mmojammoja, jamii na Taifa kwa Ujumla ikiwa ni ishara ya kuaga mwaka 2023 na kukaribisha mwaka mpya 2024


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa