• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

" Sijaridhishwa na Kasi ya Ujenzi wa Barabara ya Makongo Juu- Goba " RC Makalla.

Posted on: August 27th, 2021

 

Mhe Amos Makalla akikagua barabara ya Makongo Juu - Goba inayojengwa kwa kiwango cha lami.


- Amtaka mkandarasi wa Barabara hiyo kujitathimini

- Ameagiza ifikapo Octoba 8, 2021 barabara iwe imekamilika

- Atembelea miradi ya Maji DAWASA inayotekelezwa yenye thamani zaidi ya bilioni 65

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo Agosti 27,2021 ametembelea mradi wa *barabara Mkongo Juu wenye urefu wa KM 4.5 na miradi ya maji eneo la  Makongo, Tegeta A na Mbweni

Akiwa katika ukaguzi wa barabara ya Makongo kuelekea Goba amesema ajaridhiswa hata kidogo na kasi ya utendaji kazi wa Mkandarasi, amemuagiza Meneja wa TANROAD Mkoa wa Dar es Salaam kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa mradi huo, ukamilike kwa wakati ili wananchi waweze kutumia barabara hiyo kama ilivyo kusudiwa.

Mhe Mkuu wa Mkoa amemtaka Mkandarasi huyo kujitathimini kwa kuwa hata leo akiwa katika eneo la tukio amekuta vifaa vichache vya kazi hali ambayo imemkatisha matumaini ya kuisha kwa wakati kama hata jirekebisha ndipo akaagiza amechoka kusikia malalamiko ya barabara hiyo ifikapo Octoba 8,2021 barabara iwe imekamilika.

Kwa upande wa Mhandisi wa TAN ROAD Mkoa *Mwanaisha Rajabu* amekiri kupokea maagizo ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya utekelezaji.

Aidha Mhe  Makalla ametembelea miradi ya maji DAWASA inayotekelezwa katika eneo la Tegeta A Goba na Mbweni ambayo kukamilika kwake itagharimu zaidi ya bilioni 65

Mhe Makalla ameridhishwa na ujenzi wa matenki hayo makubwa ambapo amesema ni suluhisho la kero ya siku nyingi ya maji maeneo ya pembezoni kama, Mivumoni, mbweni, Bunju, Kinzudi, Salasala, na Mabwepande.

 " Niwatake DAWASA kukamilisha mradi hiyo kwa wakati na chunguzeni kwa makini ubora wa mabomba mnayotandaza chini ili mabomba hayo yakae kwa muda mrefu " Alisema Mhe Makalla

Mhe Amos Makalla akitoa maagizo katika mradi wa maji eneo la Tegeta A Goba unaotekelezwa na DAWASA mapema leo.


Ifahamike kuwa ziara hiyo ya Mkuu wa Mkoa aliyoifanya akianzia na maradi barabara ya Mkongo juu Goba, miradi ya ujenzi wa Matenki makubwa ya maji Tegeta A Goba, na Mbweni itakapokamilika itachochea shughuli za uchumi kwa upande wa barbara na kuwaondolea wananchi  na wakazi kero na adha ya upatikanaji wa maji Jijini Dar es Salaam.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa