• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RCC DSM Yaridhia Mapendekezo ya Kugawa Jimbo la Ukonga

Posted on: March 24th, 2025

 -Jimbo la Ukonga linapendekezwa kugawanywa na kuunda jimbo jipya la Kivule.

Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.

Akizungumza leo  jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi

Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki  na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.

Awali akiwasilisha taarifa ya mapendelezo ya ugawaji wa jimbo la Ukonga kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bwana Saloni Asheri Nyika ambae ni Katibu Tawala Msaidizi Usimamizi,Ufuatiliaji na Ukaguzi Mkoa huo amesema baada ya mapendekezo hayo ofisi ya katibu Tawala Mkoa ilituma wataalamu ambao walikwenda kujiridhisha na kubaini ni kweli jimbo hilo linahitaji kugawanywa na vigezo vyote vilizingatiwa ikiwemo Idadi ya watu pamoja na shughuli za kiuchumi

Kwa upande wa Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Juma Simba Gadafi amesema kwenye kutazama maslahi ya wananchi ni muhimu kuacha ubinafsi kwani kugawanya majimbo ni kuboresha huduma kwa wananch

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Dkt Hussein Ally Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kiibada, Mwasonga-Kimbiji

    April 25, 2025
  • RC Chalamila Dar ni Salama Aeleza Mafaniko na Mipango ya Maendeleo ya Mkoa

    April 18, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa