• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA AZINDUA JENGO LA UPASUAJI LA MWANANYAMALA

Posted on: January 25th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda amezindua Jengo la upasuaji na wodi ya wajawazito katika Hospitali ya Mwananyamala lililofadhiliwa na Kampuni ya GSM ambalo limegharimu takribani milioni 420 hadi kukamilika kwake.

Uzinduzi wa jengo hilo umefanyika leo katika Hospital ya Mwananyamala katika hafla iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya pamoja na viongozi wa vyama na Serikali .

Akizindua jengo hilo leo Mh Makonda amesema jingo hilo  litakuwa maalumu kwa ajili ya utoaji wa huduma za upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine wa dharura.

"Nitumie fursa hii kuwapongeza GSM foundation kwa support yao kubwa waliyoifanya na kukamilisha ndoto hii ya Muda mrefu ya kupunguza tatizo kubwa la kinamama kugombania chumba kimoja cha operesheni na kusababisha vifo vingi kwa kinamama na watoto " Amebainisha Makonda.

Amesema ujenzi wa jengo hilo pamoja na vitu vingine ni katika kuunga mkono juhudi za Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli katika kuhakikisha huduma ya Afya inaboreshwa hasa ile ya uzazi kwa kinamama  na kupunguza vifo vya mama na mtoto kunakosababishwa na kukosa huduma madhubuti kunakoenda sambasamba na mazingira yasiyo rafiki.

Aidha amebainisha kuwa jengo hilo lina vyumba viwili maalum kwa ajili ya upasuaji, vyumba kwa ajili ya uangalizi maalumu, (ICU),  vyumba vya uangalizi baada ya upasuaji, vyumba vya utawala pamoja na huduma nyingine.

Kadhalika ameeleza uwezo wa jengo  hilo la upasuaji kuweza  kupumzisha wagonjwa kumi ambao wamekwisha fanyiwa upasuaji kwa wakati mmoja bila bugudha yoyote, na kufanya upasuaji kwa wagonjwa wawili kwa wakati mmoja.

Naye Maneja Mkuu wa Kampuni ya GSM Eng Hersi Said amesema kwa kampuni yao kushirikiana na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya ni faraja kubwa, na pia ni  katika kuhakikisha vifo vya mama na mtoto katika uzazi vinapungua.

Katika hatua nyingine RC Makonda amewataka wananchi wa Mkoa wa Dar És Salaam kuhakikisha wanakuwa na utaratibu wa kupima afya mara kwa mara ili kuweza kupata huduma ya matibabu kwa haraka na kwa wakati.

Pia amesisitiza umuhimu wa matumizi ya Tiba kwa Kadi kutakakomrahisishia mgonjwa kupata huduma kwa haraka.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa