• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Amuenzi Dkt. Mengi kwa Kufuturisha maelfu ya Watu Wenye Ulemavu

Posted on: May 31st, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amefuturisha maelfu ya watu wenye ulemavu na wasiojiweza kama sehemu ya sadaka yake ya Ramadhani na kumuenzi aliekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Marehemu Dkt. Reginald Mengi aliefariki hivi karibuni.

Katika futari hiyo RC Makonda amewapa hadhi ya juu watu wenye ulemavu baada ya kuwaalika watu mashuhuri nchini wakiwemo wasanii wa kubwa, waigizaji ,wachekeshaji, madaktari, makamanda, vyombo vya ulinzi na usalama na kuwapa jukumu moja la kuhakikisha wanahudumia watu wenye ulemavu vyakula, vinywaji na kuwasikiliza shida zao jambo ambalo walemavu wamelizungumzia kama heshima ya kipekee wamepatiwa.

RC Makonda ameeleza kuwa futari hiyo ni sehemu ya safari ya kutimia ahadi yake ya kumuenzi Marehemu Mengi kwa upendo, ukarimu, unyenyekevu na moyo wa kujitoa kusaidi makundi ya wasiojiweza huku akieleza kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu.

Aidha RC Makonda amewahimiza wananchi kuwa na moyo wa upendo na kusaidia makundi ya wasiojiweza kwakuwa anaamini kwa kufanya hivyo watachuma baraka.

Pamoja na hayo RC Makonda amewaomba wananchi kuliombea Taifa na Viongozi ikiwa ni pamoja na kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mtetezi wa wanyonge na mpiganaji wa maendeleo kwa maslahi ya wote.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa