• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Aelezea Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano Katika Mkoa wa Dar es Salaam

Posted on: July 14th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameweka historia ya kipekee kwa kuandaa mkutano kabambe wa kuwaelezea wananchi na Viongozi wa CCM juu ya miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa kupitia Serikali ya awamu ya tano kwenye Mkoa wa Dar es salaam chini ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

RC Makonda amesema kwa kipindi cha muda mfupi Serikali ya CCM imefanya mapinduzi makubwa kwenye Sekta mbalimbali ikiwemo Elimu, Afya, Miundombinu, Umeme, Maji, Ulinzi na Usalama, Usafiri na Ujenzi wa Viwanda.

Kuhusu sekta ya elimu RC Makonda amesema serikali imefanikiwa kutoa elimu Bure, ujenzi na ukarabari wa madarasa, ununuzi wa madawati, ujenzi wa shule mpya,ujenzi wa Hostel, mabweni pamoja na ujenzi wa ofisi 402 za walimu ambapo zipo zilizokamilika na nyingine zipo hatua ya mwisho kukamilika.

Aidha RC Makonda amesema serikali kwa kushirikisha wadau imefanikisha ujenzi wa Jengo la Mama na mtoto hospital ya Chanika, Amana, Jengo la Upasuaji Mwanayamala, jengo la wagonjwa wa dharura Temeke, Zoezi la upimaji afya Bure kila mwaka, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya pamoja na kusimamia upatikanaji wa dawa, vifaa tiba pamoja na kusogeza huduma za afya karibu na wananchi.

Kwa upande wa sekta ya miundombinu ya barabara RC Makonda amesema serikali imefanikiwa kujenga barabara,mifereji na madaraja kupitia miradi iliyopo chini ya TANROAD, TARURA na DMDP jambo lililosaidia kupunguza kero kwa watumiaji wa barabara.

Pamoja na hayo RC Makonda ameeleza kuwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. Magufuli imefanikiwa kuboresha mazingira ya kazi kwa jeshi la polisi kupitia ujenzi na ukarabati wa vituo vya polisi, kuwapatia magari, pikipiki, baiskeli na computer na kufanya polisi kuwa na morali ya kazi na kupungua kwa uhalifu.

Sekta nyingine ambazo zimetekelezwa kwa Mkoa wa Dar es salaam kupitia Ilani ya CCM ni pamoja na Utawala bora, Uchumi, kilimo, Maji, kilimo, Maliasili na Utalii, Mazingira, Usafirishaji.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa