• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla wakandarasi wa Taka Mawakala na Watumishi 19 Jiji la DSM Watakiwa Kurejesha Zaidi ya Bilioni 10

Posted on: June 22nd, 2022

 



- Atoa siku 7 kupata maelezo ya kina kwa wote waliotajwa na taarifa ya ukaguzi maalum kuanzia juni 2020/ juni 2021.

- Fedha zote zirejeshwe ndani ya siku 60 kinyume chake Wote waliotajwa watakabidhiwa TAKUKURU.

- Madiwani wamshukuru mkuu wa mkoa kwa maelekezo, wahaidi kuchukua hatua stahiki kwa wote wakiohusika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa muda wa siku 60 kwa Wakandarasi wa taka, Wakala wa ukusanyaji mapato na Watumishi 19 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam waliohusika kuchota zaidi ya Shilingi Bilioni 10 za Mapato kuhakikisha wanazirejesha fedha hizo na endapo watakaidi kutekeleza agizo Hilo watafikishwa Mahakamani.

RC Makalla maelekezo hayo wakati wa *Kiako Cha baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ambapo pia ametoa muda wa siku Saba kwa Mkurugenzi wa Jiji, Mkaguzi wa ndani, msimamizi wa mfumo wa mapato na Mhasibu* kutoa maelezo ya kimaandishi kueleza ni *kwanini wameshindwa kudhibiti ubadhirifu wa fedha hizo.

Hatua hiyo imekuja Baada ya Ukaguzi maalumu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali CAG mwaka 2020/2021  kuonyesha kiasi Cha Shilingi Bilioni 10 zilikusanywa lakini hazionekani kwenye mfumo ambapo Wakala wamehusika na upotevu wa Bilioni 4.5 na Watumishi 19 wa Halmashauri kuhusika na upotevu wa Bilioni 5.4 na mpaka Sasa hakuna aliechukuliwa hatua licha ya CAG kuelekeza fedha hizo kurejeshwa.

Aidha RC Makalla ameagiza Baada ya wahusika hao kuhojiwa, Baraza la Madiwani liketi na kupitia upya kasoro zote zilizoonekana na kutoka na maazimio ya kuzitatua.

Pamoja na hayo RC Makalla ameelekeza Mabaraza ya Madiwani  Halmashauri zote za Mkoa huo kuhakikisha wanatimiza wajibu wao ikiwa ni pamoja na kujiridhisha kwa kina Kila taarifa wanazopitisha kwenye vikao Kama ni sahihi.

Hata hivyo RC Makalla pia ameelekeza Halmashauri hiyo kufanyia kazi hoja 18 zilizobaki Kati ya hoja 49 zizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali CAG na kuhakikisha hoja hizo zinafungwa na zisijirudie.















Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa